Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Balozi Nchimbi Awasili Songea Mazishi Ya Mzee Songambele

  • 35
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma na kupokelewa na viongozi wa Chama na Serikali mkoani humo, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Mohamed Ali Khalfan, leo Jumatatu tarehe 2 Juni 2025.

Balozi Nchimbi amewasili mjini Songea, kwa ajili ya kushiriki mazishi ya mwanasiasa mkongwe na mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika, na waasisi wa Chama cha TANU na CCM, Alhaj Mzee Mustafa Mohamed Songambele, aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 1, 2025 jijini Dar es Salaam na kutarajiwa kuzikwa leo mjini Songea.

 



Prev Post Mbosso Anakuja Na Jambo Gani ?
Next Post Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano naTaasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook