Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makunduchi Wamkaribisha Dk. Samia Kwa Kishindo

  • 4
Scroll Down To Discover

Kutoka Makunduchi, Zanzibar safari ya maendeleo inaendelea kusonga mbele chini ya uongozi wa Rais na Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Safari ya maendeleo haijasimama – Zanzibar ndiyo shahidi wa mwanzo, Tanzania ndiyo shabaha ya mwisho,”
wamesema baadhi ya watu waliohudhuria mkutano huo na kuahidi kutiki Oktoba kwa kishindo.

Katika mikutano yake, Dkt. Samia ameendelea kuwasihi wananchi kudumisha mshikamano ambao amesema ndiyo msingi wa mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha awamu ya sita ya serikali.

Wananchi wa Makunduchi wameeleza kuwa maendeleo yaliyoanza kushuhudiwa visiwani Zanzibar ni kielelezo cha mpango mpana wa kuhakikisha Tanzania yote inanufaika na miradi ya kitaifa ya miundombinu, elimu, afya, nishati na ajira.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

 



Prev Post Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Afariki Dunia
Next Post Mmoja Auawa Kwa Kisu Kisa Simba, Yanga
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook