Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mgombea Urais wa CUF, Gombo Samandito, Akabidhiwa Fomu na NEC

  • 6
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele leo tarehe 13 Agosti, 2025 amekabidhi fomu ya uteuzi kwa mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Chama cha The Civic United Front (CUF – Chama cha Wananchi),  Gombo Samandito Gombo. Hafla hiyo imefanyika kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma. Gombo aliambatana na mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kwa tiketi ya Chama hicho, Mhe. Husna Mohamed Abdalla.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, Agosti 13, 2025, alikakabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mgombea wa Chama cha The Civic United Front (CUF – Chama cha Wananchi), Gombo Samandito Gombo.

Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za Tume, zilizopo Njedengwa, jijini Dodoma.

Gombo aliambatana na mgombea mwenza wa kiti cha Makamu wa Rais kwa tiketi ya CUF, Mhe. Husna Mohamed Abdalla.



Prev Post MC Mwingira, Msanii wa Nyimbo za Hamasa CHADEMA, Afariki kwa Ajali ya Gari
Next Post Mchambuzi Saleh Jembe Atoa Maoni Kuhusu Mchango wa Yanga kwa CCM – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook