Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Luhaga Mpina Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais Leo Dodoma

  • 6
Scroll Down To Discover

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania urais leo Ijumaa, Agosti 15, 2025 saa 9:30 alasiri.

Shughuli hiyo itafanyika katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo jijini Dodoma.



Prev Post HUU HAPA MSHAHARA NA MALIPO MENGINNE YA SAMATTA KWENYE TIMU YAKE MPYA UFARANSA…..
Next Post MC Mwingira, Msanii wa Nyimbo za Hamasa CHADEMA, Afariki kwa Ajali ya Gari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook