Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shigongo: Wananchi Wananihitaji, Nitarejea Bungeni – Video

  • 8
Scroll Down To Discover

 

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema anaamini matokeo ya ushindi wake kwenye kura za maoni na uhitaji mkubwa wa wananchi dhidi yake vitamwezesha kuaminiwa tena kupeperusha bendera ya chama hicho.

Aidha, Shigongo amesema kifo cha Ndugai, Taifa limepoteza mtu muhimu ambaye anapaswa kukumbukwa kwa mema mengi aliyoyafanya kuliko madhaifu.



Prev Post CHAUMMA Yapokea Fomu za Uteuzi wa Mgombea Urais
Next Post CCM Kongwa Kuanzisha Upya Zoezi la Kuchukua Fomu za Ubunge Baada ya Kifo cha Ndugai
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook