Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waandishi 5 wa habari wauawa Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • 5
Scroll Down To Discover

Kumekuwa na wito mkubwa duniani kulaani mauaji ya mwandishi mashuhuri wa Al Jazeera, Anas al-Sharif, katika shambulio la Israel huko Gaza. Israel inadai kuwa alikuwa kiongozi wa kikosi cha Hamas kilichopanga mashambulizi ya roketi, madai ambayo yamekanushwa vikali na shirika hilo la habari lenye makao yake nchini Qatar. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Wakulima Wabenkika Kidijitali Mpaka Shambani na Azania Bank Nanenane 2025
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 12, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook