Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MSHINDO MKUBWA UNAKUSUBIRI JUMAMOSI HII….

  • 43
Scroll Down To Discover

Ikiwa ni Jumamosi ya mwezi wa Agosti huku ligi mbalimbali Duniani zikiwa karibu kuanza, Meridianbet inakupa fursa ya kujipigia pesa za uhakika kwa kubeti mechi za kirafiki. Timu nyingi zitakuwa uwanjani siku ya leo kujiweka sawa. Suka jamvi lako hapa.

Southampton atakuwa uso kwa uso dhidi ya Brighton ambapo hawa wote wanatokea Uingereza mmoja akiwa ligi kuu na mwingine akishuka kucheza ligi daraja la kwanza baada ya kushindwa kufurukuta ligi ya wakubwa. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Brighton kwa ODDS 1.74 kwa 3.70. Jisajili hapa.

Kwa upande wa Borussia Dortmund yeye atamenyana vikali dhidi ya Lille kutoka Ufaransa. Mwenyeji yupo pale Bundesliga huku nafasi ya kushinda leo akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.96 kwa 3.05. Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu leo?. Changamkia pesa sasa na Meridianbet.

Vilevile Galatasaray Instanbul atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Lazio Rome ambao kushinda mtanange huu wamepewa ODDS 3.00 kwa 2.02.  Mwenyeji yeye ndio bingwa wa ligi kule Uturuki huku mgeni wake akishika nafasi za katikati ligi ya Italia kule Serie A. Suka jamvi hapa.

Mkwanja nje nje leo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Tengeneza jamvi leo kwenye mechi ya RB Leipzig dhidi ya Atalanta BC ya kule Italia ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda RB mwenye ODDS 2.35 kwa 2.48. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tandika jamvi lako hapa na uondoke bingwa.

Mechi nyingine ya kusisimua ni hii ya Bayern Munich vs Olympique Lyon ya kule Ufaransa. Mwenyeji yeye ni bingwa wa Ujerumani huku leo hii wakipigiwa chapuo la kuondoka na pointi 3. Kila timu inahitaji ushindi ili kujua madhaifu yao kuelekea msimu ujao. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.46 kwa 5.20. Jisajili hapa.

Vilevile mtanange mwingine wa moto utakuwa ni kati ya Union Berlin dhidi ya Espanyol Barcelona ambapo mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet kama vile kona, faulo, magoli na mengine. 2.32 kwa 2.65 ndio ODDS za mechi hii. Nafasi ya kutusua unayo hapa. Unasubiri nini?. Tengeneza jamvi hapa.

Pia mechi nyingine yeye maokoto ni hii ya Leeds United dhidi ya Villarreal ya kule Hispania, wakati mwenyeji yeye anakipiga kule Uingereza ambapo amepanda daraja na sasa atacheza EPL. Nafasi ya ushindi amepewa Nyambizi wa Njano akiwa na ODDS 2.32 kwa 2.40. Bashiri hapa.

ODDS za kibabe zipo kwenye mechi ya Sunderland vs Real Betis, ambapo mwenyeji sasa msimu ujao atakipiga kule Uingereza EPL. Mgeni yeye yupo Laliga kule huku msimu uliopita akimaliza nafasi za katikati. Mteja wa Meridianbet hii ndio nafasi yako nzuri ya kuibuka bingwa leo. Tandika jamvi na uweke mechi hii sasa. 3.00 kwa 2.06 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Naye Nottingham Forest atakuwa ugenini dhidi ya Birmingham City ambao wako kule Championship. Kila timu inahitaji ushindi wa maana siku ya leo ili kujiweka sawa kabla ligi hazijaanza. Nafasi ya kushinda amepewa Forest kwa ODDS 1.67 kwa 4.00. Bashiri sasa.

 

The post MSHINDO MKUBWA UNAKUSUBIRI JUMAMOSI HII…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post TVBET YAINGIA ULIMWENGU WA KASINO YA MERIDIANBET….
Next Post TAMBA NA MECHI ZA KIRAFIKI MERIDIANBET LEO….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook