Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Israel kuendelea kuishambulia Gaza hadi mateka waachiliwe, katika Dira ya Dunia TV

  • 45
Scroll Down To Discover

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mkutano katika muda saa chache zijazo jijini New York kuzungumzia hatima ya mateka ambao bado wanashikiliwa Gaza, wakati shinikizo zikitolewa kusitishwa kwa mapigano ili kuondoa hali ya njaa na utapia mlo katika ukanda wa Gaza. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mpina Aonekana ACT Wazalendo
Next Post Prof. Kyaharara Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano Wa UN Wa Nchi Zisizo Na Bandari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook