Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majambazi Watatu Wauawa na Polisi Kibondo, Kigoma

  • 31
Scroll Down To Discover

Watu watatu wanaosadikika kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi kati yao na jeshi la polisi, baada ya kunaswa katika mtego wakijaribu kuteka magari ya abiria yanayotoka Kigoma kwenda mikoa mingine na kuiba mali za abiria ikiwemo simu, fedha na vitu vingine katika Kijiji cha Kigendeka wilayani Kibondo mkoani Kigoma.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kigendeka wilayani Kibondo ambapo silaha mbalimbali ikiwemo bunduki moja ak 47 na nyingine moja iliyotengenezwa kienyeji zimekamatwa.



Prev Post Benki ya Exim Tanzania Yazindua Elite Banking
Next Post Shule ya Sekondari ya Makongo Yaweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Bohari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook