Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

HALOPESA INAVYOKUPA BONUS YA 20% UKIWA NA MERIDIANBET….

  • 36
Scroll Down To Discover

Watu makini wanaelewa thamani ya kila shilingi. Na sasa, Meridianbet inakuletea njia ya kuongeza kila unachoweka. Kwa kutumia Halopesa Push kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet, utapokea bonus ya 20% kila siku, inayoweza fika hadi TZS 50,000 kwa dau lako la kwanza. Fikiria hii kama motisha ya kila asubuhi, kuongeza nguvu kabla hujaweka dau lako la ushindi.

Ni rahisi sana, fanya muamala wako wa kwanza kupitia Halopesa, kisha tumia kiasi hicho mara mbili kwenye kubashiri au kucheza kasino ndani ya siku hiyo. Kwa wanaobashiri michezo, hakikisha tiketi zako zina odds za jumla zisizopungua 3 na zinakamilika siku hiyohiyo. Kwa mashabiki wa kasino, cheza sloti zako na ujaze nafasi zako za ushindi. Tiketi yoyote iliyofanyiwa cash out haitahesabika, hapa tunalenga waliodhamiria kweli.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Bonus unayopewa haitakaa milele, ni ya siku hiyo hiyo. Na itatumika kwenye tiketi moja yenye mechi nne, kila moja ikiwa na odd ya 1.5 au zaidi. Malipo ya juu unayoweza kuvuna kutokana na bonus hiyo ni TZS 100,000.

Hii siyo tu kuhusu kucheza, ni kuhusu kuchukua hatua sahihi kifedha. Badala ya kuacha miamala yako ipite bila faida, tumia Halopesa Push na uone jinsi Meridianbet inavyokuweka karibu zaidi na ushindi.

 

The post HALOPESA INAVYOKUPA BONUS YA 20% UKIWA NA MERIDIANBET…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post BILLION 1.5 ZIPO MEZANI KUKUPA USHINDI LEO…
Next Post WANANCHI TARIME VIJIJINI NJIA PANDA BAADA YA MASWI KUTOCHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE, WABAKI KUGAWANYIKA.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook