Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wameandaa kampeni ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet. Kampeni hii itakupa nafasi ya kushinda zawadi kubwa kama Bajaj mpya, safari ya siku mbili Zanzibar, TV za Hisense, simu za Samsung A25, pamoja na 250 free spins kila siku kwenye mchezo wa kasino maarufu wa PIA.
Kushiriki ni rahisi mno. Weka angalau TZS 25,000 kupitia Airtel Money, kisha tumia pesa hizo kubashiri kwenye michezo au kucheza kasino kwa kiwango hicho au zaidi. Kila beti unayoifanya itakuongezea nafasi ya kuingia drooni na kushinda zawadi mbalimbali. Zaidi unavyoshiriki, ndivyo nafasi zako zinavyoongezeka.
Kwa kila siku unayoweka TZS 25,000 au zaidi kupitia Airtel Money, utapokea moja kwa moja 250 free spins kwenye mchezo wa PIA. Hii ni fursa ya ziada za kupata pesa halisi na burudani zaidi kwenye kasino.
Zaidi ya hayo, simu 20 za Samsung A25 zitatolewa kwa wachezaji wenye miamala mingi na kiasi kikubwa cha pesa walizoweka kupitia Airtel Money wakati wa kampeni hii. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuboresha simu yako na kuendelea kufurahia michezo ya Meridianbet.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa wale wasiofanikiwa kushinda wiki hiyo, usikate tamaa! Meridianbet itarudisha asilimia 10% ya hasara zako za kubashiri kutoka Jumatatu hadi Jumapili kama bonasi, hadi TZS 2,500,000. Bonasi hii itatolewa kila wiki kwa wachezaji waliokidhi masharti.
Zawadi kuu zitakazotolewa ni Bajaj mpya, safari ya Zanzibar kwa watu wawili, na TV za Hisense. Droo hizi zitafanyika Upanga, Meridianbet HQ, na washindi watatangazwa hadharani ili kuhakikisha uwazi.
Kampeni hii ilianza rasmi tarehe 23 Mei 2025 na itaendelea hadi 23 Agosti 2025 saa 11:59 usiku. Ili kushiriki, lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi na kuwa na akaunti halali ya Meridianbet. Depositi lazima zifanyike kupitia Airtel Money (Menu au Push). Tiketi za Turbocash na system tickets hazijumuishwi kwenye masharti ya free spins.
Unaweza kushinda zaidi ya zawadi moja wakati wa kampeni, lakini kwa kila droo mmoja tu atapokea zawadi moja. Free spins zinaweza kubadilishwa hadi TZS 20,000 kuwa pesa halisi. Ili kudai zawadi yoyote, mshindi atalazimika kutoa kitambulisho na ushahidi wa makazi.
Hii ni fursa yako ya kubashiri kwa furaha na kushinda zawadi nyingi. Tumia Airtel Money sasa kuweka pesa kwenye Meridianbet, anza kubashiri na kucheza michezo ya kasino mtandaoni, na uwe miongoni mwa washindi wa bahati nasibu hii kubwa Tanzania
The post PATA FURSA YA KUSHINDA ZAWADI KUBWA NA MERIDIANBET NA AIRTEL MONEY…. appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!