Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

BASHIRI MECHI ZAKO USHINDE SAMSUNG A25 ….

  • 41
Scroll Down To Discover

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kama kawaida wameendelea kukuletea promosheni za uhakika ambazo zitakusaidia kuondoka na tabasamu. Safari hii ni promo kali ya simu aina ya Samsung A25 ambapo mteja atapata akibashiri mechi zake azipendazo.

Meridianbet inasema kuwa huu ni wakati wako wa kung’ara kwani soka si tu burudani, bali sasa ni fursa ya kujishindia zawadi kabambe. Unaweza ukajiweka kwenye nafasi ya kujishindia Samsung A25 mpya kabisa endapo utatengeneza jamvi mechi zako za ushindi hapa.

Zoezi hili la kushindania simu limeanza hapo jana tarehe 1 Julai na itaenda mpaka mwisho wa mwezi huu tarehe 31 huku Meridianbet wakisema kuwa nafasi ya wewe kujichukulia simu yako uipendayo ipo wazi sana.

Kujiweka kwenye nafasi ya kushindani Simu hizo inabidi kwanza uwe umejisajili na Meridianbet na kisha uweke dau lako halafu ucheze kiasi kuanzia shilingi 5000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu.

Meridianbet ndio kampuni bora kabisa inayotoa ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000. Suka mmkeka wako na uchague timu zako hapa. Jisajili sasa.

Cheza mara nyingi zaidi ujiweke kwenye nafasi ya washindi?. Simu aina ya Samsung A25 ipo kwaajili yako sasa mechi nyingi zipo pale Meridianbet unachotakiwa kufanya ni kusuka jamvi la ushindi hapa.

Ili kupiga pesa kirahisi, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kwenye promosheni hii ya kubeti online, wale ambao watakuwa wameshinda, yaani washindi watatangazwa kila Ijumaa ambapo ambapo simu mbili zitatolewa kwaajili yao na kukabidhiwa hapo hapo.

Kumbuka kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Simu.

Hivyo mteja wa Meridianbet changamkia fursa hiyo imekuja mkononi mwako sasa. Wapi utapata fursa kama hii?. Kadri ambavyo unabashiri mara nyingi mechi za mpira wa miguu ndipo unaposogelea Samsung A25 yako sasa.

The post BASHIRI MECHI ZAKO USHINDE SAMSUNG A25 …. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MERIDIANBET YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MAGOMENI NA MANZESE…
Next Post USHINDI WAKO WA MWEZI HUU UMEFIKA, NI SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KUTOKA MERIDIANBET
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook