

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma leo, tarehe 26 Juni 2025. Kesho Rais Dkt. Samia atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!