Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kolabo Ya Diamond Na Davido Kutoka Hivi Karibuni.

  • 28
Scroll Down To Discover

Star wa muziki Africa 🦁 @diamondplatnumz Ametangaza Kolabo Nyingine Na O.B.O @davido 🇳🇬 Ambayo Itatoka Hivi Karibuni.

Diamond Amethibitisha Hilo Wakati Akizungumza Na Mashabiki Zake Jana Kwenye Session Na Dj Wa UK @djagonline Mitaa Ya King Cross Jijini London.

“Nimetoka Kuzungumza Na Davido Jana Tu, Lakini Pia Leo… Unajua Mimi Na Davido Tuna Ngoma Nyingine Ambayo Itatoka Hivi Karibuni, Hivyo Nafuraha Sana … Wakati Nikiendelea Kuifanyia Kazi Album Yangu Mpya Itakayotoka Hivi Karibuni” – Diamond .

Diamond Na Davido Ni Wakali Wa Hitsong ‘My Number One’ Remix Iliyotoka Zaidi Ya Miaka 10 Iliyopita.

The post Kolabo Ya Diamond Na Davido Kutoka Hivi Karibuni. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Jay-Z Adaiwa Atatumbuiza Superbowl 2026.
Next Post Stefon Diggs Amkodishia Cardi B Kasri Paris!!.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook