Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025

  • 31
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi tarehe 21 June 2025

Mkazi wa Kijiji cha Mungushi, Wilaya ya Hai, Mary Mushi mwenye umri wa miaka 26 anadaiwa kuwaua watoto wake wawili, mmoja mwenye umri wa miaka minne na mwingine wa miezi sita, kisha kujaribu kujiua kwa kujijeruhi, katika tukio la kusikitisha linalodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kifamilia.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Abel Mtagwa, amethibitisha kutokea tukio hilo leo mchana, Juni 20, 2025, na kusema kuwa uchunguzi umeanza ili kubaini chanzo cha tukio hilo.



Prev Post Rais Dkt. Samia Chifu Hangaya Awa Mtemi Wa Sungusungu Mikoa 5
Next Post Baraza la Maaskofu Lapiga Marufuku Hotuba za Wageni Madhabahuni
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook