Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 20 June 2025

  • 37
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 20 June 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 20 June 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa tarehe 20 June 2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) zitakazofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025.

Uwanja huo utatumika kwa michezo ya Kundi B lenye timu za Tanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso

Pia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kwenye Fainali hizo, ambapo utatumika kwa timu za Kundi D lenye timu za Senegal, Congo, Sudan na Nigeria.

Aidha Mechi ya Fainali itachezwa Jijini Nairobi nchini Kenya siku ya Jumamosi ya tarehe 30 Agosti, huku Mechi ya Mshindi wa tatu itachezwa Jijini Kampala nchini Uganda.



Prev Post Waziri Mkuu Apongeza TET Kwa Miaka 50 ya Mafanikio ya Kielimu
Next Post PAMOJA NA KUSEPA YANGA…AZIZ KI ATIA NENO MECHI YA JUNE 25….AITAJA SIMBA NA UBINGWA…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook