
Evagli Ally, Baba mkubwa wa marehemu Antony Ngaboli aliyeuawa kikatili akiwa na mkewe, amezungumza na Global TV na kueleza kuwa hakuna wa kulipa kisasi kwa kifo cha Antony na mkewe, bali anaamini kuwa ni Mungu pekee atakayelipa haki hiyo.
Miili ya marehemu hao waliouawa kikatili inatarajiwa kuzikwa leo katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Video kamili ipo YouTube ya Global TV
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!