Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumanne 27 May 2025

  • 40
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumanne 27 May 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo.

Bw. Abdul-Razak Badru ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Kabla ya uteuzi huu, Bw. Badru alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), anachukua nafasi ya Dkt. Elirehema Joshua Doriye ambaye uteuzi wake umetenguliwa na

Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Nyansaho alikuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.



Prev Post Waziri Mkenda Azindua Mashindano ya NBC ya Uandishi wa Insha, Wazo Bora la Biashara kwa Wanafunzi
Next Post PUMA Energy Tanzania Kupitia Upya Mpango Mkakati Wa Biashara
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatano 28 May 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 26 May 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook