
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 23 May 2025
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 23 May 2025.jinsi ya kupata laki mbili leo jioni
Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa Klabu ya Singida Black Stars kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.
Mabao ya Yanga yalifungwa na Denis Nkane na Prince Dube, huku ya Singida Black Stars yakifungwa na Jonathan Sowah, Arthur Bada na Elvis Rupia.
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya Klabu hizo kuelekea michezo inaofuata huku Singida Black Stars ikiwa na mechi mbili mwezi huu May dhidi ya Simba May 28 na May 31, 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!