
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 16 May 2025
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeagiza mchezo wa marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho baina ya Simba na RSB Berkane uhamishiwe Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Kwa mujibu wa barua ya CAF jana iliyosainiwa na Katibu wa Bodi hiyo ya kandanda barani, Mkongo mwenye Uraia wa Uswisi pia, Veron Mosengo-Omba sababu za mabadiliko hayo ni Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao upo katika marekebisho wakati huu kutokuwa tayari kwa mchezo huo Mei 25.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!