
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira akimjulia hali Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar ambae ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Dr. Abdallah Juma Sadala (Mabodi) aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma. tarehe 24 Agosti 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!