Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya – (Picha +Video)

  • 48
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Mei 11, 2025 amewaongoza Watanzania, kuaga kitaifa mwili wa Makamu wa Rais wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee Cleopa Msuya katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan; wakati akiwa katika Viwanja vya Karimjee ambapo mwili wa Hayati Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu umeagwa.

 

Rais Samia akitia saini kitabu cha maombolezo katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei, 2025.
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Hayati Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, leo Mei 11, 2025 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.



Prev Post Stanbic Bank Yaanzisha Kampeni ya Salary Switch Kuwazawadia Wateja Fedha Taslimu Na Manufaa Maalum
Next Post Balozi Dkt. Nchimbi Ashiriki Kumuaga Mzee Msuya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook