Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Balozi Dkt. Nchimbi Ashiriki Kumuaga Mzee Msuya

  • 50
Scroll Down To Discover


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa salaam na heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, shughuli iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya ibada, iliyofanyika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam, leo Jumapili, tarehe 11 Mei 2025.








Prev Post Rais Samia Aongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya – (Picha +Video)
Next Post Balozi Nchimbi Ateta na Othman Masoud Othman
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook