Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MNYAMA KUZITAKA POINT TATU…PAMBA HALITETE KUSALIA LIGI KUU…

  • 47
Scroll Down To Discover

Kocha mkuu wa pamba jiji asema ya kwamba hawapo nafasi nzuri, suala la kushuka daraja halipo maana bado tuna mechi nne mkononi tuta hakikisha pamba inabaki ligi kuu ya nbc.Tuna waheshimu simba na tunaamini mchezo utakuwa mzuri.

Huku kocha msaidizi wa simba amesema.Wanakutana na mechi ngumu zaidi kwani pamba wanapambana wasishuke daraja. Wachezaji wa simba wapo tayari kupambana akimalizia kusema wachezaji wapo fiti hawana majeruhi.

hawato ruhusu kupoteza point tatu.Huku michezo ya ligi kuu ikitarajiwa kuendelea leo May 8 2025 Simba kuwakaribisha pamba sc. Mnyamakumalizia kiporo chake, Pamba sc kujipanga vizuri dhidi yapinzani wao ili kuendelea kusalia kwenye ligi wana paswa kushinda mchezo huo.

Tambo za mashabiki wasimba ya zidi kuwa kubwa wana utaka ubingwa wakipishana point saba dhidi ya wa tani wao wajadi.

The post MNYAMA KUZITAKA POINT TATU…PAMBA HALITETE KUSALIA LIGI KUU… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post KUELEKEA MECHI YA FAINAL YA CAF….HII HAPA AHADI YA ‘KISHUA’ YA RAIS SAMIA KWA SIMBA…
Next Post NAFASI YA KUWA MILIONEA IKO HAPA NDANI YA ODDS HIZI KUTOKA MERIDIANBET…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook