Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

  • 43
Scroll Down To Discover

Msanii Wa Bongo Fleva Nchini @officialnandy Ameweka Wazi Kuwa Msanii Wake @yammitz Rasmi Amemaliza Mkataba Wake Na Label Yake Ya ‘The African Princess’ Na Kupata Wawekezaji Wapya Watakaoendeleza Kipaji Chake.

“African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, ameihitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label kwa makubaliano ya kirafiki na kwa manufaa ya pande zote mbili.

Tunaamini kuwa lebo imetoa mazingira bora yaliyo mwezesha Yammi kukua na kupevuka kisanaa, na tunafurahia kuona kuwa sasa amepata wawekezaji wapya waliovutiwa kuendeleza na kusimamia zaidi kipaji chake na kumsaidia kufikia hatua kubwa zaidi kimataifa” – Label Ya The African Princess

Barua Ya Label Ya The African Princess Ikiweka Wazi Kuachana Na Yammi.

The post Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.
Next Post Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook