
Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30,2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!