

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kushambuliwa na kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima na watu wasiofahamika, akiwa kwenye makazi yake, zilipo Ofisi za baraza hilo Kurasini Jijini Dar Es salaam majira ya saa tatu na nusu usiku wa Aprili 30, 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!