Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwanini Uingereza inatoa msaada wa kijeshi kwa Saudi Arabia? Katika Dira ya Dunia TV

  • 1
Scroll Down To Discover

Serikali ya Uingereza imetangaza kupeleka Jeshi lake la Wanahewa katika kile inachosema kuwa ni misheni ya kuisaidia Saudi Arabia, huku wapiganaji wa Houthi wakizidisha mashambulizi yao Mashariki ya Kati. Ndege za kivita zitatumika kulinda miji ya Saudia na miundombinu muhimu ya kitaifa dhidi ya mashambulizi. Maafisa wa Uingereza wanasema hawatatekeleza mashambulizi dhidi ya Wahouthi. #Yemen #SaudiArabia #Wahouthi #BBCSwahili #BBCHabariLeo #BBCDiraYaDuniaTV #koffiolomide Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 21/ 10 /2026
Next Post Iran Yaweka Sanamu Inayofanana na Trump Ndani ya Gereza Kwenye Bango – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook