Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu wa Rais Ndejembi Aungana na Waombolezaji Maziko ya Hafidh Ameir Hassan (Video +Picha)

  • 3
Scroll Down To Discover


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameshiriki maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Maziko hayo yamefanyika leo, Jumatatu, Septemba 7, 2026, katika eneo la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja.

Marehemu Hafidh Ameir Hassan amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar, alipokuwa akipatiwa matibabu.

Maziko hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Viongozi Wakuu na Viongozi Wakuu Wastaafu, viongozi wa Serikali, viongozi wa dini, viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa Mahakama na Bunge, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, pamoja na familia, ndugu, marafiki na waombolezaji kutoka ndani na nje ya nchi.

The post Makamu wa Rais Ndejembi Aungana na Waombolezaji Maziko ya Hafidh Ameir Hassan (Video +Picha) appeared first on Global Publishers.



Prev Post Kizimkazi: Viongozi Wamfariji Rais Samia Baada ya Msiba wa Mumewe
Next Post Matajiri wa Jiji Azam Fc na Namungo Kukipiga Leo Ligi Kuu ya NBC
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook