Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ruto ‘Hatutamlazimisha Aliko Dangote eneo la kuwekeza’ Katika Dira ya Dunia TV

  • 14
Scroll Down To Discover

Rais wa Kenya William Ruto amezungumzia tena mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Afrika Mashariki kinachopendekezwa kujengwa katika bandari ya Tanga nchini Tanzania, akisisitiza uamuzi wa mwisho utakuwa wa wawekezaji wakiongozwa na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Trump Siitaji msaada wa China kukomesha vita Iran. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post AFCON 2027: Sasa Ni Kasi Tu! RC Chalamila Atoa Maelekezo Mazito Kinondoni – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook