Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Trump Siitaji msaada wa China kukomesha vita Iran. Katika Dira ya Dunia TV

  • 16
Scroll Down To Discover

Rais wa Marekani Donald Trump amewasili nchini China kwa ziara ya siku mbili, ambapo atakutana na mwenyeji wake Rais Xi Jinping. Mazungumzo huenda yakazingatia sana Kusitisha vita na Iran, masuala kuhusu Taiwan, pamoja na mahusiano ya kibiashara. Hata hivyo kabla ya kuondoka Marekani,Trump alisema hatahitaji msaada wa China ili kukomesha vita na Iran. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 13/05/2026
Next Post Ruto ‘Hatutamlazimisha Aliko Dangote eneo la kuwekeza’ Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook