Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Watu 6 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Ajali ya Basi la Green Line Singida

  • 6
Scroll Down To Discover

Watu sita wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani, iliyotokea katika eneo la Injiri, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, ikilihusisha basi la Kampuni ya Green Line.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Amon Kakwale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni tairi la basi hilo kukwama kwenye shimo.

 

 

The post Watu 6 Wafariki, 14 Wajeruhiwa Ajali ya Basi la Green Line Singida appeared first on Global Publishers.



Prev Post Video: Mwili wa Lukuvi Wazikwa Iringa, Waziri Mkuu Afunguka Mazito
Next Post Marekani Yathibitisha Ongezeko la Meli Kupita Hormuz, Afichua Harakati Mpya
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook