Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Trump aipa Iran siku 10 kufanya makubaliano. Katika Dira ya Dunia TV

  • 23
Scroll Down To Discover

Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameongeza muda wa tishio lake la kuanza tena kushambulia mitambo ya nishati ya Iran kwa siku 10 zaidi ili kutoa nafasi ya makubaliano. Hata hivyo, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul alisema maandalizi yanafanywa kwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran nchini Pakistan. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Vita nchini Iran vyaingia siku ya 31. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Rais Samia Ampongeza CAG, Aahidi Mapungufu Kushughulikiwa – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook