Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vita nchini Iran vyaingia siku ya 31. Katika Dira ya Dunia TV

  • 30
Scroll Down To Discover

Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimeingia siku ya 31 leo Jumatatu. Donald Trump amesema kuwa Marekani iko katika “mazungumzo muhimu” na utawala mpya wa Iran ambao, kulingana na rais huyo, unaweza “kukomesha operesheni za kijeshi za Marekani nchini Iran.” Lakini msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran anasema kuwa mpango wa Marekani na Israel wa mazungumzo hauna mantiki na haukubaliki. #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo #Trump #Iran #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post CAG Dkt. Kichere Aibua Kasoro Kwenye Mradi wa Uwanja wa Arusha – Video
Next Post Trump aipa Iran siku 10 kufanya makubaliano. Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook