Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mfanyakazi wa nyumbani, raia wa Uganda, kunyongwa Syria, katika Dira ya Dunia TV

  • 20
Scroll Down To Discover

Serikali ya Uganda iko chini ya shinikizo la kuingilia kati kesi ya mfanyakazi wa ndani anayekabiliwa na adhabu ya kifo nchini Syria. Shirika la habari la MMI News lenye makao yake Uingereza limenukuu shirika la Migrant Workers Voice Uganda likiwahimiza maafisa jijini Kampala kuzungumza na wenzao wa Syria ili kusimamisha utekelezaji wa hukumu hiyo dhidi ya Vicky Ajok ambayo imepangwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii tarehe 28 Februari. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post IBENGE MACHO YOTE KWA SIMBA,YANGA
Next Post Iran Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuhusu Mashambulizi na Mazungumzo ya Nyuklia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook