Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ramadhan 2026 Yaanza Rasmi Tanzania Baada ya Kuandama kwa Mwezi – Video

  • 21
Scroll Down To Discover

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Amewaambia waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam kuwa, kufuatia kuandama kwa Mwezi Mtukufu, Waumini wa dini ya Kiislam katika maeneo mbalimbali nchini wataanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan hapo kesho Febuari 19 2026

Mufti wa Tanzania amesema Mwezi umeonekana katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar na Kenya.

The post Ramadhan 2026 Yaanza Rasmi Tanzania Baada ya Kuandama kwa Mwezi – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Benki Ya Exim Imetangaza Washindi wa Kampeni ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ na Kufanya Makabidhiano ya Zawadi.
Next Post Mvutano Mkubwa CUF: Wajumbe Saba Waliyefutwa Wadai Bado Ni Viongozi Halali
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook