Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mzee Hiza Wa ‘Tanzania Yetu’ Afariki Dunia

  • 26
Scroll Down To Discover

Msanii mkongwe wa muziki Tanzania, Mzee Hiza, mtunzi na mwimbaji wa wimbo maarufu wa “Tanzania Yetu”, amefariki dunia.

Mzee Hiza alikuwa maarufu kwa kutunga na kuimba wimbo Tanzania Yetu – Nchi ya Furaha ambao umekuwa ukielezea uzalendo na umoja wa Watanzania kwa miaka mingi.

Wimbo huo aliuandika akiwa na Bendi ya Atomic Jazz ya Tanga mwaka 1966/1967 na umechukua nafasi muhimu katika utamaduni wa muziki wa Tanzania.

The post Mzee Hiza Wa ‘Tanzania Yetu’ Afariki Dunia appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Mwigulu Aahidi Maboresho Makubwa Bandari ya Tanga
Next Post SIMBA YAANZA SAFARI YA KUSAKA TIKETI CAF
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook