Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Maji Kwamaligwa – Kilindi, Tanga

  • 27
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 amekagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga ambao utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake.

Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha za
Mfuko wa Maji chini ya usimamizi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unatoka kwenye bwawa lenye uwezo wa kuhifadhi maji kiasi cha lita 670,902,360 kwa mwaka.

Mradi huo unatarajiwa kuhudumia jumla ya wananchi 36,263, wakiwemo wananchi 32,641 wa Kata ya Kibirashi (vijiji sita) na wananchi 3,622 wa Kata ya Kisangasa, Kijiji cha Kwediswati.

Mpaka sasa Mkandarasi amelipwa jumla ya shilingi bilioni 4.61 kwa kazi alizotekeleza.

The post Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Maji Kwamaligwa – Kilindi, Tanga appeared first on Global Publishers.



Prev Post KUNA HII YA IBRAHIM IMORO SINGIDA BLACK STARS
Next Post Kamati ya Bunge; OSHA Italipunguzia Taifa Mzigo wa Fidia na Matibabu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook