Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda

  • 26
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 ameelekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ambapo atakagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji la Kidunda ambalo linatarajiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha hadi lita bilioni 20 za maji kwa siku

Pia Mheshimiwa Dkt. Mwigulu atakagua madhara ya mvua katika maeneo ya Kidete, Godegode pamoja na Gulwe.

The post PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda appeared first on Global Publishers.



Prev Post Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo
Next Post TRA Yavunja Rekodi, Oktoba hadi Desemba Yakusanya Sh. Trilioni 9
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook