Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu Akagua Hali Ya Uzalishaji Na Usambazaji Wa Maji Ruvu Chini (Picha +Video)

  • 64
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 29, 2025 amekagua hali za uzalishaji na usambazaji wa maji eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji unaotokana na mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ilianza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

“Mipango hii ya ujenzi wa miradi inayolenga kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji ilianza muda mrefu, Serikali iliona na ilianza kutafuta majawabu ya hali hii miaka mitatu iliyopita kwa kujenga miradi mikubwa itakayotoa matokeo chanya” Amesema Dkt. Mwigulu

 

The post Dkt. Mwigulu Akagua Hali Ya Uzalishaji Na Usambazaji Wa Maji Ruvu Chini (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.



Prev Post Waziri Mkuu Akagua Soko Na Kituo Cha Mabasi Bunju B – Video
Next Post Airtel Yawazawadia Washindi Saba Siku ya Boxing Kupitia ‘Sikukuu Imenyooka na Santa Mizawadi’
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook