

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, Jijini Dar es Salaam, alipofanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo pamoja na ujenzi wa Kituo cha Mabasi, Desemba 29, 2025.

The post Waziri Mkuu Akagua Soko Na Kituo Cha Mabasi Bunju B – Video appeared first on Global Publishers.











Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!