Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Ulivyowasili Nyumbani Itega, Dodoma

  • 100
Scroll Down To Discover

Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama ukiwasili nyumbani kwake Itega Jijini Dodoma Desemba 12, 2025.

Marehemu alikuwa Mbunge wa Peramiho kuanzia mwaka 2005 na amefariki dunia siku ya Alhamisi, Desemba 11, 2025 Jijini Dodoma, katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama yatafanyika siku ya Jumanne Desemba 16, 2025, katika kijiji cha Ruanda, Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.

“TUMEPOTEZA DADA MKUBWA BUNGENI” – MARYPRISCA MAHUNDI MSIBANI kwa JENISTA MHAGAMA…

The post Mwili wa Marehemu Jenista Mhagama Ulivyowasili Nyumbani Itega, Dodoma appeared first on Global Publishers.



Prev Post BASATA Yasitisha Hafla ya TMA 2025 Bila Kutoa Sababu
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DISEMBA 14, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook