Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga

  • 60
Scroll Down To Discover

Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia tarehe 11 Desemba 2025 jijini Dodoma, anatarajiwa kuzikwa tarehe 16 Desemba 2025, Ruanda – Mbinga.

Ratiba ya Msiba hadi Siku ya Mazishi

DESEMBA 12, 2025

  • Mwili wa Marehemu utaletwa nyumbani kwake Itega, Dodoma kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.

DESEMBA 13, 2025

  • Misa Takatifu itafanyika katika Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Dodoma.

  • Baada ya misa, mwili utasafirishwa kuelekea Songea.

DESEMBA 14, 2025

  • Kuwasili Songea.

  • Maombolezo yataendelea, ikifuatiwa na Misa na mwili kupumzika nyumbani kwake Makambi.

DESEMBA 15, 2025

  • Safari ya kuelekea Peramiho.

  • Misa Takatifu, kutoa heshima za mwisho, na mwili kulala Peramiho.

DESEMBA 16, 2025

  • Mazishi yatakayofanyika Ruanda, Mbinga.

 

The post Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga appeared first on Global Publishers.



Prev Post Tambua Setingi Muhimu Kwenye Simu Yako ya Android Ili Kujilinda
Next Post Sababu Kuu za Maumivu ya Tumbo kwa Wanawake
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook