Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Hali yasalia shwari Tanzania Disemba 9, katika Dira ya Dunia TV

  • 54
Scroll Down To Discover

Jeshi la polisi nchini Tanzania linasema hali ya usalama wa nchi imekuwa nzuri na vyombo vya ulinzi vinaendelea kuimarisha usalama katika maeneo mbalimbali. Maandamano ya amani yaliyopangwa kufanyika siku ya leo yalipigwa marufuku na mamlaka za serikali yakidaiwa kuwa hayakukidhi matakwa ya kisheria. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Zelenskyy Asema Yuko Tayari Kuandaa Uchaguzi wa Rais Hata Wakati wa Vita
Next Post Ndege Yaangukia Gari Ikitua Kwa Dharura barabarani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook