Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Uhusiano wa Tanzania na Marekani upo mashakani baada ya maandamano, katika Dira ya Dunia TV

  • 74
Scroll Down To Discover

Marekani imesema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji ya raia wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa hivi karibuni. Taarifa iliotolewa na ubalozi wa Marekani, imesema kuwa licha ya uhusiano wake wa muda mrefu uliostawi kati yake na taifa hilo, hatua ya hivi karibuni ya taifa hilo imezua wasiwasi mkubwa kuhusu mwelekeo wa uhusiano huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post DIARRA, BACCA ‘WAKICHAFUA’ HASWA CAF…..REKODI ZAO HAKUNA STAA WA SIMBA ANAZIFIKIA….
Next Post Ni Gari Gani Mtu wa Kipato cha Chini Anaweza Kumiliki? Soma Hapa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook