Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shetta Achaguliwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam

  • 57
Scroll Down To Discover

Diwani wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal maarufu Shetta

Diwani wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal maarufu Shetta, amechaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Uchaguzi huo ulifanyika kwa kishindo, ambapo Shetta alipata kura 48 kati ya kura 51 zilizopigwa.

Uchaguzi huu unamweka Shetta katika nafasi muhimu ya kuongoza na kusimamia masuala ya maendeleo ya Jiji la Dar es Salaam, huku akitarajiwa kuimarisha huduma kwa wakazi na kusimamia miradi ya maendeleo.

WASOMALIA HALI TETE MAREKANI – TRUMP ATANGAZA WARUDISHWE WALIKOTOKA – YAZUA MAJIBIZANO MAKALI..

The post Shetta Achaguliwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam appeared first on Global Publishers.



Prev Post RC Arusha Awakilisha Tanzania Katika Maandalizi ya Mkutano wa Mabunge Duniani
Next Post Super Unleaded vs Unleaded: Ni Mafuta Gani Yanayofaa gari lako? Soma Hapa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook