Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Watuhumiwa wa uhaini Tanzania waachiliwa, lakini Niffer arejeshwa jela, katika Dira ya Dunia TV

  • 85
Scroll Down To Discover

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania amewaondolea mashtaka washtakiwa 198 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, isipokuwa watu 18 ambao wamerejeshwa rumande. Mfanyabiashara Jeniffer Jovin maarufu kama Niffer na Mika Chavala ni miongoni mwa wale waliorejeshwa rumande. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post PAMOJA NA KUFUNGWA JUZI….WAARABU WABEBA JINA LA PACOME YANGA….
Next Post Vitu Muhimu 9 vya Kuzingatia Wakati wa Kununua Gari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook