Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Xiaomi Yazindua “Festival Vybes Promotion” , Mwezi Mzima wa PROMOTION NA Zawadi Kemkem Tanzania Nzima 

  • 55
Scroll Down To Discover

Dar es Salaam, Tanzania Xiaomi imezindua rasmi kampeni yake kubwa ya mwisho wa mwaka, Xiaomi Fest Vybes,

Kampeni hii inaleta mchanganyiko wa zawadi za papo hapo madukani pamoja na droo Kubwa za Mitandaoni. Promotion hii kubwa ni kuwashukuru wateja na kuwapa nafasi ya kushinda zawadi nyingi zaidi msimu huu wa sikukuu.

Xiaomi Fest Vybes ipo mahsusi kwaajili kuwashukuru wateja kwa kuwapa uzoefu wa kipekee mara tu wanapoingia katika maduka ya washirika wa Xiaomi Tanzania. Kila siku kipindi chote cha promotion, wateja watapokea zawadi papo hapo

Ikiwa ni pamoja na smartwatch, earbuds,vikombe maalumu vya sikukuu na zawadi nyingine nyingi pale wanaponunua simu za SHAOMII.

WATEJA WATAKAONUNUA:
•⁠ ⁠REDMI 15 watapata smartwatch BURE
•⁠ ⁠WATAKAO NUNUA REDMI NOTE 14 Series AU REDMI 15C watapata earbuds za BURE
•⁠ ⁠WATAKAO NUNUA REDMI A5(FIVE) watapata kikombe maalum cha Krismasi papo hapo

Kisha droo kubwa kuchezeshwa tarehe 12, 18 na 23 ambapo wanunuaji wa simu tajwa, watapata nafasi ya kushinda simu zingine tena kama REDMI NOTE 14 PRO PLUS, REDMI PAD TWO 4G, Xiaomi 15T lakin pia SMARTWATCH na EARBUDS , UNASUBURI NINI NUNUA SIMU ZA XIAOMI LEO UPATE ZAWADI

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMB : 0767160164 @xiaomi_tzofficial



Prev Post Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video
Next Post Soma Hapa… Mwongozo Mpya wa Monetization Facebook 2025 – Fanya Page Iwilipe!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook