Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Amteua Lazaro Nyalandu Kuwa Mshauri wa Diplomasia

  • 98
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Lazaro Nyalandu kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya diplomasia.

Taarifa hiyo imetolewa leo, Novemba 21, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka.



Prev Post Nafasi 14 za Ajira Zafunguliwa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Mwisho wa maombi Disemba 03
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 22, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook