Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mpango mpya wa Trump utamaliza vita Ukraine? Katika Dira ya Dunia TV

  • 13
Scroll Down To Discover

Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameonya kwamba nchi yake iko katika hatari ya kupoteza kuungwa mkono na Marekani kufuatia mpango wa rais Donald Trump wa kumaliza vita na Urusi. Katika hotuba kwa taifa lake, Zelensky amesema atatoa njia mbadala kwa mpango mpya wa Marekani, na kwamba atatetea uhuru wa Ukraine. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 21,2025
Next Post Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Mkandarasi Kukamatwa Na Kuzuia Hati Yake – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook